Home > Terms > Суахили (SW) > kuongoza kutoka nyuma

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu umeweza kuibua malumbano mengi kati ya Ikulu na Jarida la The New Yorker ambalo lilichapisha makala asilia ya yakimweleza mshauri wa Obama na kuonyesha vitendo vya Rais kule Lybia kuwa "kuongoza kutoka nyuma." Ikulu ya White House imekana kuwahi kutumia msemo huo.

Kinyume na Kampeni nyingi zilizoongozwa na Marekani Uarabuni, ambazo ziliwalenga Saddam Hussein wa Iraq na kundi la Taliban kule Afghanistan, Marekani ilichukua jukumu la pili kwenye vita vilivyoongozwa na Ufaranza huko Lybia ambavyo vilipelekea kukamatwa na kuuawa kwa Muammar Gaddafi.

0
Добавить в My Glossary (мой глоссарий)

Что вы хотите сказать?

Войдите в систему, чтобы добавить ответ к обсуждениям.

Термины в новостях

Особые термины

DEBORA KAYEMBE
  • 0

    Terms

  • 0

    Глоссарии

  • 7

    Followers

Отрасль/сфера деятельности: Некоммерческие организации Категория: Местные общинные ресурсы

sweden vs. wikileaks

Wikileaks mwanzilishi Assange Julian got kushtakiwa kwa makosa ya kuwa na nia ya ngono kwa wanawake wawili alipokwenda Sweden katika majira ya joto ...

Участник

Избранные глоссарии

Artisan Bread

Категория: Food   2 30 Terms

African Instruments

Категория: Искусство   1 8 Terms